MWENYEKITI MTENDAJI WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD AWASILI JIJINI DAR KWA NDEGE MAALUM

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Profesa John L. Thornton akiwasili Dar kwa ndege maalum Jumanne jioni kuhudhuria mazungumzo ya biashara ya madini ya dhahabu, maarufu kama MAKINIKIA baada ya majadiliano ya kina, baina ya wataalamu wa Tanzania na wa Kampuni hiyo ambayo yamekuwa yakiendelea kwa karibu miezi mitatu sasa. Hii ni mara ya pili Prof Thornton kuja Tanzania kwa shughuli hiyo.

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Profesa John L. Thornton akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa JNIA,jiji Dar kwa ndege maalum Jumanne jioni kuhudhuria mazungumzo ya biashara ya madini ya dhahabu, maarufu kama MAKINIKIA baada ya majadiliano ya kina, baina ya wataalamu wa Tanzania na wa Kampuni hiyo ambayo yamekuwa yakiendelea kwa karibu miezi mitatu sasa. Hii ni mara ya pili Prof Thornton kuja Tanzania kwa shughuli hiyo

Comments