NAIBU WAZIRI LUGOLA AFANYA ZIARA ENEO LA TANDALE KWA MTOGOLE NA KUZINDUA OPERESHENI YA MIEZI MIWILI YA KUSAFISHA MITO NCHI NZIMA
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola akizungumza na waandishi wa habari na wakazi wa eneo la Tande kwa Mtogole wakati wa ziara ya waziri huyo ya kuzindua operesheni ya miezi miwili ya kusafisha mito nchi nzima.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi
Lugola akikagua eneo la Mto Ng’ombe eneo la Tandale kwa Mtogole wakati
wa ziara ya waziri huyo ya kuzindua operesheni ya miezi miwili ya
kusafisha mito nchi nzima.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi
Lugola akisafisha eneo la Mto Ng’ombe kuashiria uzinduzi wa operesheni
maalum ya miezi miwili ya kusafisha mito nchi nzima.
Eneo
la Mto Ng’ombe likiwa limejaa taka ngumu kama zilivyokutwa na Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi
Lugola wakati wa ziara ya waziri huyo ya kuzindua operesheni ya miezi
miwili ya kusafisha mito nchi nzima.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo
Comments