Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akimsikiliza Koplo Faustina Ndunguru kutoka Makao Makuu ya
Trafiki kitengo cha Elimu ya Usalama Barabarani katika Uzinduzi wa
Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika katika
viwanja vya Mashujaa ,Manispaa ya Moshi mjini mkoani Kilimanjaro,
wengine pichani ni Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira
(kushoto) na Kulia ni Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Fortunatus Musilimu.

Hassan akimsikiliza Mkuu wa Usalama na Mazingira kutoka TANROADS Makao
Makuu Bi. Zafarani Madayi wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho
yanayotoa elimu ya usalama barabarani katika Uzinduzi wa Maadhimisho ya
Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika katika viwanja vya
Mashujaa ,Manispaa ya Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.
Mkurugenzi
Msaidizi Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
Mhandisi Joyce Mbunju akimuelezea Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan namna Wizara
ilivyojipanga nakuja na mbinu za teknolojia ya kisasa katika kuhakikisha
usalama barabarani unakuwepo wakati wote.
Mwanafunzi
wa Darasa la 5 kutoka shule ya msingi Muungano Bi. Aisha Ayoub
akishiriki kuima nyimbo za kuelimisha masuala ya usalama barabarani
akiwa mmoja kati ya wanafunzi waliotoka shule 10 za Manispaa ya Moshi
mjini wakati wa uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambao
umefanyika katika viwanja vya Mashujaa ambapo Makamu wa Rais Mhe. Samia
Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.

Hassan akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Nenda
kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika katika viwanja vya Mashujaa
,Manispaa ya Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Comments