Friday, June 09, 2017

MKURUGENZI MKUU WA NHC AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA NHC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa NHC, Bw. Nehemia Kyando Mchechu akifungua mkutano huo wa Baraza Kuu la Wafanyakazi unaofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo NHC Place Upanga jijini Dar es salaam wakifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Shirika jana mchana.
 Baadhi ya Wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC unaofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam wakifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Shirika jana mchana.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa NHC, Bw. Nehemia Kyando Mchechu akifungua mkutano huo wa Baraza Kuu la Wafanyakazi unaofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam wakifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Shirika jana mchana.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa NHC, Bw. Nehemia Mchechu akifungua mkutano huo wa Baraza Kuu la Wafanyakazi unaofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam wakifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Shirika jana mchana.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa NHC, Bw. Nehemia Mchechu akifungua mkutano huo wa Baraza Kuu la Wafanyakazi unaofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam wakifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Shirika jana mchana.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa NHC, Bw. Nehemia Mchechu akifungua mkutano huo wa Baraza Kuu la Wafanyakazi unaofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam wakifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Shirika jana mchana.
Baadhi ya Wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC unaofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam wakifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Shirika jana mchana.
Baadhi ya Wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC unaofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam wakifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Shirika jana mchana.

No comments:

MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TEWW

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu y...