Friday, June 09, 2017

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya mpira kutoka kwa Afisa Masoko Msaidizi wa kampuni ya soda ya Coca Cola Bi. Pamela Lugenge kama ishara ya kuendeleza michezo nchini na pia kwa ajili ya kumsaidia kuendeleza mazoezi yake binafsi wakati wa ufunguzi wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassanakirusha mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. 
Vijana wakionesha utayari wao wa kushiriki michezo wakati wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AWASILI VISIWANI COMORO KWA ZIARA YA KIKAZI NA KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU

Moroni, Comoro – Julai 6, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili leo katika Uwanja wa...