Thursday, June 08, 2017

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI DAVID MSUGURI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amemtembelea na kumjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Msuguri nyumbani kwake Butiama.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa wilaya ya Bunda waliojitokeza barabarani kumsalimu akitokea Butiama kuelekea jijini Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaaga baadhi ya Wananchi wa wilaya ya Bunda waliojitokeza barabarani kumsalimu akitokea Butiama kuelekea jijini Mwanza

No comments:

WAZIRI MKUU MAJALIWA KUFUNGUA CHAN2024 KWA MKAPA

   Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika  ufunguzi wa mashindano ya CHAN 2...