Bandari ya Dar es Salaam


Bandari ya Dar es Salaam kama inavyoonekana kwa juu watu wana fweza si mchezo magari kibao.

Comments

Anonymous said…
Kwanini mna post picha za magari, wakati city council ya dar imelala, hawataki kushirikia ku improve lives of people of Dar...kujenga new roads, infact bwana you should take picha za watu huku City Council na post picha zao na kutonyesha jinsi these big bullys sleep in their chair at the offices...and ask for rushwa all the time...I challenge you bwana Charahani
Anonymous said…
Mimi nimekuwa msomaji wa blog zenu, nashangaa kuona mnaandika vitu na kutoa habari kwa kutizamiana,yaani unakuta habari imendikwa na blog zaidi ya moja na ni ileile mpaka hata contents.Mfano picha na maelezo ya picha za usiku wa mwaka mpya zinafanana kabisa,ukiangalia blog yako na ya michuzi nyingine sijazitembelea,mna maanagani?.Halafu mnaandika all rights reserved,mbona mnajichanganya sana.Mimi nadhani kila mtu anatakiwa kulinda haki ya kazi yake sio mnakopi mnatutupia alafu mnasema eti nina blog.Okay najua habari na matukio uwa yanafanana lakini mpaka maneno mkweli,angalau zisipishane hata kidogo,jaribuni kuiga jinsi ya kutuhamasisha ili tusome kazi yenu, make sio niende michuzi nikute picha ileile,niende chalahani nikute ileile hata bila kutofautisha angalau kuongeza lolote,
Mnachosema kina annonymous kina mtizamo wa kivyenu zaidi, ni lazima muangalie originality, blogu hii haihamishi vitu kutoka kwa nyingine sababu imejitosheleeza na huwa ikiwa na picha unique.

Sasa huyo anayehamisha kutoka huko ni juu yake sizungumzii mtu, lakini fahamuni kwamba content iliyomo humu ni ya charaz.blogspot.com na kama inatokea kitu fulani kinahamishwa huwa kinakuwa acknowledged. Cheers thanx kwa changamoto zenu
soslought said…
7a replica bags philippines replica gucci f7s53p5w07 replica ysl bags australia replica bags ru try here g1v19d1o43 replica goyard bags pop over to this site n9t01f2f93 replica gucci bags replica bags ru d7k40o4f53