Jamaa hili liko fiti ile mbaya limereje na watoto wa Tembe zamani lilitesa saana katika katika kundi la FM Academia kisha likatokomea kule Marekanmi na sasa yupo Dar huyu si mwinginen ni Ndanda Kossovo 'Kichaa"
Ndanda ni mwanamuziki mzuri mwenye kipaji lakini tatizo ni kutulia.Tangua arejee kutoka Marekani amekuwa maarufu zaidi kwa kuahidi hili na lile kuliko burudani kwa wasikilizaji.Pengine this time atafanya kweli.
Anonymous said…
ndanda tulia ,uwape watu raha, utoe ushindani kwa wapiga mkorogo, fm academia,jamaa wamezidisha mikorogo. ndanda mbali na mbwembwe za nywele na ndevu, bado unangozi natural, safi sana.
Comments