JESHI LA MAGEREZA NCHINI WAJADILIANA NA NHC NAMNA YA KUENDELEZA MAKAZI MAKAO MAKUU DODOMA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa baada ya kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma. Ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa ukifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa na ujumbe wake katika kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa NHC, Pius Tibazarwa na ...
Comments