Sunday, June 20, 2010

Uzinduzi bodi ya TIC


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Katibu Mkuu , Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Maimuna Tarishi baada ya kuzindua Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwenye hoteli ya New Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

Anonymous said...

huyu jamaa angekuwa rais labda mambo yangebadilika kidogo, anaonekana mtu wa kawaida.

WAZIRI AKWILAPO AZINDUA KLINIKI YA ARDHI YA KIDIJITI MTWARA

  MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara...