Tuesday, December 22, 2009

Hoteli ya 'JK" iliyobomolewa







PICHANI WAKIONEKANA WAFANYAKAZI WA HOTELI YA KITALII YA SNOWCREST YA MJINI HAPA WAKIONDOA MABAKI MARA BAADA YA KUVUNJWA KWA UZIO WA HOTELI HIYO NA WAKALA WA BARABARA(TANROADS) MKOANI HAPA,HOTELI HIYO ILIZINDULIWA NA RAIS JAKAYA KIKWETE IJUMAA WIKI ILIYOPITA(PICHA NA MOSES MASHALLA)

No comments:

MHANDISI MRAMBA AFUNGUA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA YA NISHATI JUA KWA WATAALAM

📌 Yanahusu usanifu, utengenezaji, ufungaji  mifumo ya Nishati Jua na matumizi yake 📌 Asema mafunzo yanalenga kuendeleza matumizi ya nishat...