RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam.  Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
 : Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na waumini wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka nje na muumini kijana baada ya kuhudhuria ibada  ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na mmoja wa watawa baada ya kuhudhuria ibada  ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.PICHA NA IKULU

Comments