Thursday, February 12, 2026

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA OCEAN ROAD

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba, ambae ni mgeni rasmi, kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road akiwasili na kupokelewa na Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Februari 12, 2026, Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Waziri wa Afya Mhe. Mohammed Mchengerwa wakati wa maadhimisho ya miaka 30 ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, yanayofanyika leo Februari 12, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Afya, Mhe. Mohammed Mchengerwa, akitoa maelezo mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, wakati wa maadhimisho ya miaka 30 ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, yanayofanyika leo Februari 12, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam




 

No comments:

KASI YA UJENZI WA RELI YA SGR IMEONGEZEKA – PROF. MBARAWA

  Wahudumu wa ndani (Train crew) wa shirika la reli Tanzania (TRC) upande wa Standard Gauge Railway (SGR) wamehudhuria Bungeni Jijini Dodoma...