Thursday, February 12, 2026

KAMISHNA WA UHIFADHI NCAA APOKELEWA NA WAFANYAKAZI

Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro Bw. Abdul-Razaq Badru amepokelewa Rasmi kwa kukagua gwaride la heshma katika ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro eneo la Njia Panda Karatu baada ya Kivishwa Cheo na kuapishwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) kuwa kamishna wa Uhifadhi hivi Karibuni.






No comments:

RAIS SAMIA AZINDUA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA JULIUS NYERERE, AAGIZA UKAMILISHAJI WA MIUNDOMBINU YA KUSAFIRISHA UMEME NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi waliohudhur...