Thursday, April 16, 2026

SAMIA AZINDUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WFNS, ATEMBELEA MAONESHO YA SEKTA YA AFYA






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akitembelea mabanda ya maonesho ya wadau wa Sekta ya Afya kabla ya kufungua rasmi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Shirikisho la Dunia la Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (WFNS).

Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Aprili 2026.

No comments:

RAIS DKT. MWINYI AFIKA MBWENI KUTOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU MAMA FATMA KARUME

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi , akitoa pole kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti...