Umati mkubwa wa wananchi wa Momba, Tunduma – Mkoa wa Songwe umefurika leo, Septemba 03, 2025, kushiriki kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Shangwe na nderemo zilipamba hewani huku wananchi wakionesha mshikamano na hamasa kubwa ya kumuunga mkono Dkt. Samia katika safari ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.
π² Fuatilia matukio zaidi ya kampeni kupitia mitandao yetu ya kijamii:
π Instagram: @mamakajatz
π Twitter: @mamakajatz
π Facebook: Mamakajatz
π YouTube: Mama Kaja TZ
#Mamakaja #KaziIendelee #Samia2025 #Songwe
No comments:
Post a Comment