Wednesday, August 13, 2025

KYARA WA SAU ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS UCHAGUZI MKUU 2025

Wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio Paul Kyara na Mhe. Satia
Mussa Bebwa (kushoto) wakionesha mkoba wa fomu za uteuzi waliokabidhiwa na Tume leo Agosti 13, 2025. (Picha na INEC).




Mwenyekitiwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe. Majalio Paul Kyara. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Satia Mussa Bebwa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 13, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima.  (Picha na INEC).

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima akimwelekeza mgombea Mhe. Majalio Paul Kyara namna ya kujaza kusaini kitabu.
Mgombea Mwenza, Mhe. Satia Mussa Bebwa akisaini kitabu huku akishuhudiwa na Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio Paul Kyara.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs  Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio Paul Kyara. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Satia Mussa Bebwa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 13,   kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

 

No comments:

KYARA WA SAU ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS UCHAGUZI MKUU 2025

Wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio...