Friday, February 24, 2017

SMZ YAFANYA MAZUNGUMZO NA NHC MPANGO WA MAENDELEO WA ENEO LA SADAN

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akiongoza ujumbe wa viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao walitembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Haikamen Mlekio akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed wakati viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiukaribisha ujumbe wa viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiukaribisha ujumbe wa viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akibadilishana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed wakati Waziri huyo na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye. 
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed wakati wa ziara ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
  
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na mmoja wa viongozi wa Zanzibar wakati wa ziara ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akibadilishana Profesa Ninatubu Lema wakati Waziri huyo na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye. 
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akibadilishana Profesa Ninatubu Lema huku  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwasikkiliza wakati Waziri huyo na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na kuzungumza mazungumzo ya awali ya namna ambavyo Shirika litakavyoshiriki katika kulipanga upya eneo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo katika eneo la Sadani Bagamoyo kwaajili ya maendelezoya baadaye. 

Post a Comment