Saturday, February 18, 2017

KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA LEO


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Februari 18, 2017, kwa ajili ya mazungumzo baina yao .
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Februari 18, 2017, kwa ajili ya mazungumzo baina yao .
Wakienda eneo la kufanyia mazungumzo 
Wakiwasili eneo la mazungumzo Ofisini kwa Katibu Mkuu wa CCM. 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 18, 2017. (Picha zote na Bashir Nkoromo) .


No comments:

RAIS SAMIA AMTEMBELEA PACOME, AMPATIA POLE NA KUMTAKIA AFYA NJEMA

  Dar es Salaam – Mchezaji wa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua , amepata faraja ya kipekee baada ya kutembelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungan...