Thursday, February 16, 2017

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA (TBC) ATEMBELEA NHC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Timu ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) iliyoongozwa na Mkurugenzi wake Dk Ayoub Rioba wakizungumzia masuala mbalimbali ya kiushirikiano baada ya kutembelea Ofisi za Shirika la Nyumba la Taifa jana.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akielekeza jambo kwa Timu ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) iliyoongozwa na Mkurugenzi wake Dk Ayoub Rioba wakizungumzia masuala mbalimbali ya kiushirikiano baada ya kutembelea Ofisi za Shirika la Nyumba la Taifa jana.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari akimwelekeza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dk Ayoub Rioba jinsi Kitovu cha Mji wa Salama Creek uliopo Kigamboni utakavyokuwa baada ya kujengwa.
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari akimwelekeza jambo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dk Ayoub Rioba wakati Mkurugenzi huyo wa TBC alipotembea ofisi za Makao Makuu ya NHC jana.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dk Ayoub Rioba akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari wakati Mkurugenzi huyo wa TBC alipotembea ofisi za Makao Makuu ya NHC jana.

Post a Comment