Tuesday, February 14, 2017

RC MTAKA AWASIHI WATANZANIA KUTUMIA FURSA YA KUWEKEZA MKOANI SIMIYU

DAILY
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka akisisitiza jambo wakatiakifungua Jukwaa la Biashara Mkoani Simiyu

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka (katikati), Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo Profesa Elisante ole Gabriel (kushoto), na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya serikali (TSN) Tanzania Standard Newspaper Dkt Jim Yonazi (kulia) wakisikilizamaelezo mbalimbali katika Kongamano hilo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo Profesa Elisante ole Gabriel
akisisitiza umuhimu wa Viwanda nchini Tanzanai

Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Masoko kutoka TIB Corporate Bank Ltd Bi Theresia Soka (kulia) akiwa na Zacharia Kicharo Meneja wa TIB Development Bank Ltd Lake Zone wakifatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Jukwaa la Biashara Mkoani Simiyu

Post a Comment