Tuesday, September 11, 2012

Wanahabari waandamana kulaani mauaji ya Mwangosi



Mhariri Mkuu wa Channel Ten, Dinnah Chahali akiwa amezungukwa na waandishi wa habari wakati wa maandamano ya wanahabari jijini Dar es Salaam kupinga kuuawa kwa mwakilishi wa kituo hicho mkoani Iringa, Daudi Mwangosi. 

 @@@@@@@@@@@@@@@@@@@@ 

Maandamano ya waandishi wa habari yamefanyika mida hii kwa amani na utulivu kuanzia zilipo ofisi za Channel Ten, ofisi ambayo alikuwa akifanyia kazi Marehemu Daudi Mwangosi hadi Jangwani ambapo yalitolewa matamko mbalimbali ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Emmanuel Nchimbi alijaribu kutaka kuteka mkutano uliofuatia baada ya maandamano na akazomewa na kutimka zake.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...