Mwenyekiti wa Chama cha
Wananchi (CUF) akichangia pesa kwenye harambee iliyoambatana na matembezi ya
hisani kuanzia Buguruni hadi kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam
leo ambapo zaidi ya Sh 129 milioni zilichangwa. Pesa hizo ni kwaajili ya
kueneza kampeni yao ya dira ya mabadiliko mikoani kote kujiandaa na uchaguzi
2015.
Profesa Lipumba akimuangalia
Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya
Ilala Saidi Rico alipokuwa akichangia.
Msongamano wa wanachama wa
chama hicho kwenye foleni ya kwenda kuchangia fedha
No comments:
Post a Comment