Saturday, September 15, 2012

BRIGITER ALFRED NDO REDDS MISS KINONDONI 2012


Mshindi wa shindano la Redds Miss Kinondoni Brigiter Alfred, akiwapungia mkono mashabiki walioshuhudia shindano hilo jijini Dar es Salaam jana, kulia ni mshindi wa pili Diana Hussein na mshindi wa tatu Irene David. Brigit pia anashikilia taji la Redds Miss Sinza 2012 huku Irene akishikilia taji la Miss Ubungo 2012. Pamoja na hayo Redd's Miss Kinondoni 2012 alijishindia taji la Miss Talent iliyokuwa umedhaminiwa na Perfect Lady Classic Saloon iliyopo Kinondoni jijini Dar na wamempa zawadi ya kupewa huduma kwa kipindi cha mwaka mzima ndani ya Saloon yao.
Warembo wshiriki wakipita na vazi la ufukweni mbele ya majaji na mashabiki
Mshindi wa tatu Irene David akionyesha vazi lake la jioni.
Brigit Alfred akionyesha uwezo wake wa kusakata muziki wa kihindi ambapo aliibuka mshindi kwa kuonyesha kipaji.

No comments:

LIPUMBA AWAPA NENO WAJUMBE MKUTANO MKUU CUF

  Na Mwandishi Wetu  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amewaelekeza wajumbe wa Baraza Kuu la chama hic...