Monday, September 10, 2012

Uzinduzi wa mauzo ya nyumba za NHC Levolosi


Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC), David Shambwe (Kushoto) akifafanua jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa mauzo ya nyumba za Shirika hilo zilizopo Levolosi, Arusha Tanzania, aliyeambatana naye ni Yahya Charahani ambaye ni Meneja Mawasiliano wa NHC. 
Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC), David Shambwe (kulia) akifafanua jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa mauzo ya nyumba za Shirika hilo zilizopo Levolosi, Arusha Tanzania, kulia kwake ni Itandula Kambalagi Meneja Masoko na Utafiti wa NHC.

Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC), David Shambwe (Katikati) akifafanua jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa mauzo ya nyumba za Shirika hilo zilizopo Levolosi, Arusha Tanzania, kushoto kwake ni Itandula Kambalagi Meneja Masoko na Utafiti wa NHC na Kulia ni Yahya Charahani Meneja Mawasiliano NHC.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...