Rais Kikwete akiwa kwenye moja ya vifaa vya kisasa vitakavyotumika kujenga barabara hiyo mara baada ya kuzindua jiwe la msingi.
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete akizindua Jiwe la msingi la mradi wa
Ujenzi wa mabasi yaendayo haraka barabara ya Morogoro leo jijini Dar es
Salaam. Ujenzi hua utakao anzia Feli hadi Kimara kwa kuunganisha na
barabara ya Kawawa kunzia Magomeni hadi Moroko ni waumbali zaidi ya
Km21.
No comments:
Post a Comment