Sunday, October 03, 2010

Balozi Maajar akabidhi hati ya utambulisho kwa Obama


Balozi wa Tanzania nchini Marekani,Mwanaid Maajar akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani, Barack Obama mara baada ya kupokea hati ya utambulisho wa Balozi wetu huyo nchini humo.

3 comments:

emu-three said...

Kazi njema muwakilishi wetu! Lakini mmh, mama kaula na mumewe pia? Najaribu kufikia ule `udume' na `uuke' hapo!

zitto-kiaratu said...

hakuna kuwakilisha, tunaendeleza ufisadi pale-pale kama mwanzo 1961 tunashinda kwa nguvu/hiari, sijui nitakwenda wapi tena? mars?

Anonymous said...

Huyu malaya anajulikana kuwa ni nyumba ndogo ya Jakaya na huyo aliyepo ni mume jina au tuseme Bushoke. Udini na ngono tupu fuck you Majaar au majalala na laana zako.

DKT. ABBASI AKAGUA MIRADI YA UTALII PORI LA AKIBA LA PANDE, ATOA MAAGIZO YA KUKAMILIKA KABLA YA AFCON 2027

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Julai 23, 2026, ametembelea Pori la Akiba la Pande jijini Dar es Salaa...