Monday, October 25, 2010

Kampeni mgombea urais wa TLP


Katibu Mkuu wa TLP Rajabu Tao (kulia) akimnadi mgombea Urais wa chama hicho Mutamwega Mgahywa, kwa wananchi waliohudhuria mkutano wa mgombea huyo eneo la Manzese viwanja vya Bakhressa jijini Dar es Salaam juzi, ambapo walitangaza kumalizia kampeni zao Mkoani Mwanza.

Mgombea urais kwa tiketi ya TLP Mutamwega Mgahywa, akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria mkutano wa mgombea huyo eneo la Manzese viwanja vya Bakhressa jijini Dar es Salaam juzi, ambapo wanatarajia kufungia kampeni zao Mkoani Mwanza. Picha zote na Said Powa

1 comment:

emu-three said...

TLP, sio ndio chama mwenyekiti wake ni Mrema, au nimekosea,oooh, naona siasa zinaniacha kwenye mataa...kura, aaah, nitapiga sana!

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya mazungumzo na  Fitch Ratings Ltd  amb...