Friday, October 08, 2010

Happy birtday Mr President

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimlisha kipande cha keki Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe ya kumpongeza Rais Kikwete kwa kutimiza miaka 60 ya kuzaliwa kwake jana jioni.Sherehe hizo zilifanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlisha kipande cha keki mkewe Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe ya kuadhimisha kuzaliwa kwake miaka 60 iliyopita.Sherehe hizi zilifanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam jana usiku.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata keki wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 60 tangu kuzaliwa kwake pembeni yake ni Mama salma Kikwete na mjukuu wao Karima wakishuhudia.(picha na Freddy Maro)

1 comment:

Anonymous said...

Mzee wa Mishitu rafiki yangu nawe ni swahiba wa huyu habith! Pole sana. Huna haja ya kutangaza mpuuzi anayeishi kwa kumtegemea mbwa Yahya Hussein badla ya Mungu. Hii inakupunguzia heshima ndugu yangu. Unamwonyesha Kiwembe na choko wake Salma!

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AMALIZA ZIARA YA SIKU MOJA MKOANI MBEYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), leo ameondoka Mkoani Mbeya baada ya kukamilisha zi...