Wednesday, January 04, 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MANISPAA YA KIGAMBONI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es salaam akiwa katika ziara ya wialaya ya Kigamboni Januari 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wialya ya Kigamboni baada ya kuwasili wilayani humo kwa ziara ya siku moja. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment