Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma wakiwasili katika eneo la Mradi wa NHC Kawe 711 ambao una jumla ya majengo maneno ya ghorofa 18 kila moja yakitarajiwa kuwa makazi ya wananchi 2,880 ikiwa na sehemu za makazi 480 pia wabunge hao walipata fursa ya kutembelea mradi wa Morocco Square na kisha majumisho kufanyika makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma kuelezea kuhusu uwekezaji uliofanywa na NHC katika maeneo mbalimbali nchini wakati kamati hiyo ilipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa jana kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Albert Obama.
Mkurugenzi wa Hazina na Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa, David Misonge Shambwe akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (hawapo pichani) kuelezea kuhusu uwekezaji uliofanywa na NHC katika maeneo mbalimbali nchini wakati kamati hiyo ilipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa jana.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati akielezea kuhusu uwekezaji uliofanywa na NHC katika maeneo mbalimbali nchini wakati kamati hiyo ilipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa jana.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Albert Obama wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati akielezea kuhusu uwekezaji uliofanywa na NHC katika maeneo mbalimbali nchini wakati kamati hiyo ilipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa jana. Hapa walikuwa katika ziara ya Mradi wa Kawe 711 jijini Dar es Salaam.

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Albert Obama wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati akielezea kuhusu uwekezaji uliofanywa na NHC katika maeneo mbalimbali nchini wakati kamati hiyo ilipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa jana. Hapa walikuwa katika ziara ya Mradi wa Golden Premier Residence Kawe jijini Dar es Salaam.

Comments