Tuesday, November 16, 2010

Mbunge wetu Mary Mwanjelwa akiapa bungeni


Mbunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa akiapa, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 13, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 comments:

Anonymous said...

Dah! haka katabia ka wizi sasa kanaharibu kabisa career aspirations. Sasa dada yetu anahitaji Msaada wa Kiroho (ambao kwa bahati mbaya haupatikani pale Mikocheni B Assemblies of 'God')

Anonymous said...

ulipendeza mdada,

WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUISHI FALSAFA ZA RAIS DKT. SAMIA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuz...