Wednesday, November 10, 2010

Makamu wa Rais



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi Makamu wa Rais (Mazingira), wakati alipofika ofisini hapo kusaini kwa mara ya kwanza na kuanza kazi rasmi Nov 08. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ruth Mollel.( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

1 comment:

emu-three said...

Safi saana, mambo ya kampeni yameisha sasa ni kazi, tusisahau wimbo wetu `timizeni ahadi zenu...'

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...