Saturday, November 13, 2010

Spika mpya mama Makinda


MHESHIMIWA ANNE MAKINDA NDIYE SPIKA MPYA WA BUNGE BAADA YA KUMSHINDA MH. MGOMBEA MABERE NYAUCHO MARANDO KATIKA UCHAGUZI WA KUMPATA SPIKA MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.


Idadi ya kura zilizopigwa = 327
Idadi ya kura zilizoharibika = 9

Mabere Marando amepata kura 53
Anna Makinda amepata kura 265

2 comments:

emu-three said...

Karibu mama, macho sijui mangapi yatakuwa yanakutizama wewe, na `dhamana za watanzania' zitakuwa mikononi mwako, twakuombea dua njema ufanye kazi yako kwa uadilifu! Ingawaje uadilifu unaweza ukakufanya uonekane sio mwenzetu, lakini usijali, kwahi mtenda haki ndiye mpenzi wa mungu!

Anonymous said...

huyu bure tu atakuwa mbaya zaidi ya mkapa tena anadhani yeye ndiyo mbantu halisi wambulu,wabarbaig,wamasai watakoma!!!

DKT. MWIGULU AWASILI SONGEA KUSHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA JENISTA MHAGAMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 15, 2025 amewasili mjini Songea mkoani Ruvuma kwa ajili ya...