Sherehe za birthday ya Mandela Posted by Vempin Media Tanzania on August 24, 2008 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mke wa sasa Nelson Mandela, Mama Graca Machel (kushoto) akimpiga busu mke wa zamani wa Mandela, Winnie Mandela (kulia), kwenye sherehe za kusherekea birthday ya 90 ya mume wao. Naona wanapatana vizuri tu. Je, wana-share siri za kumfurahisha mzee? Comments
Comments