Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa rasmi na Rais George Bush kwenye ofisi Maalum ya Rais wa Marekani Oval Office alipomtembela Rais Bush jana Washington DC.
Rais Jakaya Kikwete akioneshwa na Rais George Bush wa Marekani mandhari ya ikulu ya Marekani,White House,wakati Rais Kikwete alipomtembelea Rais Bush Ijumaa asubuhi jijini Washington D.C.Rais Kikwete yupo nchini Marekani kwa mwaliko wa Rais Bush.Picha na Freddy Maro/Ikulu
Comments
Huyo Kikwete sio mwema huyo aayefanya kazi pamoja na jambazi hili, limeuwa watu wengi wa nchi yake na wa nchi nyingine.
mashambulizi ya Ubalozi US Dar uliua zaidi watz, na ile ilipangwa hivyo ili majmbazi haya ya dunia yachukue nchi za ulimwengu wote.
Muwe waangalifu jamani, semeni ukweli. kama unapata info hebu elezeni sio kuficha.