usafiri Dar Posted by Vempin Media Tanzania on August 10, 2008 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Hebu cheki Dar es salaam kila mtu yuko bize, kila mtu na jambo lake kila mtu anatafuta pesa, hata hivyo wapo baadhi wanafuatilia mambo ya watu, hapa ni kati kati ya jiji kila mtu anahangaikia usafiri sijui mwenzangu msomaji una maoni gani Comments
Comments