Wednesday, August 20, 2008

Bweni laungua


Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wasichana ya Bigwa inayomilikiwa na Masista wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro,wakiangalia baadhi ya vitu vyao vilivyoungua moto uliotokea jana na kuunguza mabweni mawili ya Shule hiyo.Picha na Mdau John Nditi/TSN Morogoro.

No comments:

  ‎
Bodi ya Kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), inayofanya kazi chini ya Wizara ya Fedha, imetoa onyo kali kwa watahiniwa wote wa fani ...