Hapa ni karibu kabisa na njia panda ya kuelekea Sanawari, Arusha ndipo unapoweza kuona kwa mbaali Mlima Meru ambao ni mkubwa kiasi unapamba mandhari ya jiji la Arusha.
Comments
Anonymous said…
hey, yaani nimefurahi sana kuona pic hizi maana zinanikumbusha arusha sana, endelea kutupa pic za arusha, hasa sisi tunaotokea arusha.peace!!!!!!!!
Comments