Saturday, June 16, 2007

Safari ya Arusha



Safari za basi siku hizi bwana zinatisha, lakini hatuna njia walala hoi lazima tusafiri na usafiri wetu ni mabasi kwani hamjasikia kejeli za Waziri Andrew Chenge alipotoa maoni yake alionekana kuponda yaani anaona usafiri wa basi ni usafiri wa hovyo mno, any way hata ndege za bongo ni yale yale tu.

No comments:

RAIS MWINYI: SMZ KUIMARISHA MFUMO WA KIDIGITALI KATIKA KUDHIBITI AJALI NA MAKOSA YA BARABARANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kujipanga kuimarisha matumiz...