Ugali

Comments

John Mwaipopo said…
Mzee wa Mshitu picha hii hakika haiitaji maelezo yoyote yawayo. yatosha. mambo ya nguna hayo, mmetoka kulima mchana mna njaa kali na kiu kisha mwakutana na mguna kama hili. Kule kwetu Mbeya tunakula na jmchanganyiko wa nguniani (majani ya maharage) na maharage mabichi. Ndani kuwe kumewekwa tui la karanga. Yaani We acha tu!!!!