MWILI WA MAREHEMU PRAIVETI MUSSA JUMANNE WAAGWA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO Posted by Vempin Media Tanzania on September 25, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Askari wa JWTZ wakibeba Jeneza la mwili wa marehemu Praiveti Mussa Jumanne Muryery tayari kwa safari ya kuelekea Dodoma kwa ajili ya mazishi. Mwili wa Marehemu uliagwa leo katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam. Comments
Comments