Michuano ya Netball

Mfungaji wa Morogoro Zuhura Twalibu akimiliki mpira dhidi ya wachezaji wa Mwanza wakati wa mechi ya nusu fainali ya kombe la Taifa la netiboli iliyofanyika viwanja vya shule ya sekondari Filbert Bayi Kibaha mkoani Pwani jana. Picha na Silvan Kiwale

Mfungaji wa Morogoro Zuhura Twalibu akiwa kwenye hekaheka ya kufunga huku akiwa kwenye ulinzi wa wachezaji wa Mwanza. Mfungaji wa Morogoro Zuhura Twalibu (kulia) akifunga goli wakati wa mechi
ya nusu fainali ya kombe la taifa la netball dhidi ya Mwanza iliyochezwa kwenye uwanja wa Filbert Bayi Kibaha mkoani Pwani jana. Picha zote za Silvan Kiwale.

Comments

emu-three said…
Hivi mchezo huu wa netiball unaushindani wa kidunia? Nani bingwa wa dunia sasa hivi? Nawaza nakuiuliza,...manake mimi najua handball...lalini netball?
Obat Vimax said…
thanks for good sharing information