DONDOO KUHUSU MATONYA



Jina lake halisi ni Paulo Mawezi

Jina Matonya ni la utotoni

Ni mume wa wake watatu

Ni baba wa watoto wawili, Elizabeth na Ernest

Aliishi Kilimatinde, Singida miaka 30 iliyopita

Sasa ni mkazi wa Bahi Sokoni, Dodoma

Alianza 'kazi' ya ombaomba kabla ya uhuru

Hukusanya kati ya sh 4000 na 7000 kwa siku

Alitoroka kambini Moro, akapandishwa kizimbani

Kuila Krisimas 2010 jijini Dar es Salaam

Comments

Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu mzee. Nilishawahi "kumfagilia" hapa:

http://matondo.blogspot.com/2010/09/fikra-ya-ijumaa-namfagilia-mzee-anthony.html