Wednesday, August 20, 2008

Waheshimiwa Wabunge wakiyarudi


Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo,Joel Bendera akicheza na Ofisa Uhusiano wa Zain Tanzania,Celine Njuju, muziki ulioporomoshwa na African Stars 'Twanga Pepeta International'mjini Dodoma,wikiendi.
Mbunge wa Viti Maalumu,Anna Lupembe(kushoto)akicheza muziki wa bendi ya African Stars (Twanga Pepeta International)na Mbunge wa Mbinga Magharibi,John Komba wakati wa hafla iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania mjini Dodoma,wikiendi

Mbunge wa Mbinga Magharibi,John Komba akicheza muziki wa African Stars 'Twanga Pepeta International' akiwa ameshika ungo wakati wa hafla iliyoandaliwa na Zain Tanzania mjini Dodoma, wikiendi.

1 comment:

Anonymous said...

TUNAOMBA HABARI ZA HUKO DODOMA KWA WAKATI

RAIS SAMIA ASHIRIKI DUA MAALUM KUMUENZI HAYATI KARUME, MIAKA 54 BAADA YA KUUAWA KWAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan , jana tarehe 07 Aprili 2026 aliungana na viongozi mbalimbali pamoja na wananch...