Thursday, September 27, 2007

Futari



Ni jioni mwanana wakati Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Mark Green, alipotembelea kijijini Misugusugu, Kibaha pamoja na kituo cha kulea watoto yatima cha Mwinyibaraka, ambacho ni sehemu ya Taasisi ya Kiislamu ya Mwinyibaraka, na kuungana na viongozi na wakazi wa eneo hilo katika ibada ya kufuturu iliyokuwa imeandaliwa na taasisi hiyo.

2 comments:

Anonymous said...

JE HAO WAISLAMU WANAPOFUTURU NA BALOZI WA MAREKANI WANAELEWA KUWA WAISLAMU WENZAO WAMEFUNGWA NA MAREKANI HUKO GUANTANAMO KINYUME CHA SHERIA ZA MAREKANI NA ZA KIMATAIFA? HAWANA HAKI YA KUFIKISHWA MAHAKAMANI WALA YA KUJITETEA !! WAKATI WANAMEZA HIYO MINOFU YA MAREKANI WALIPASWA WAMUELEZE BALOZI UKWELI !!

Haya CIA kazi kwenu kuchunguza nani katundika maoni haya

Anonymous said...

aaahhhh wala usiogope CIA wala nini huo ndo ukweli waislamu hawa wa misugusugu masikini nadhani hawakujua wanachokifanya ni hatari sana kushangilia nduguyo kuteswa na adui.

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka 2026 hadi 2030 (Ag...