Tuesday, September 11, 2007

Watoto



Hivi ni ajira kwao au ni kazi kama za nyumbani hivi, au ni wanacheza sijui hebu nambie ndugu msomaji, lakini hivi ndivyo mpigapicha wetu Hassan Mndeme alivyowakuta watoto hawa wakifanya kazi zao huko kijiji cha Komtonga, wilayani Mvomero, Morogoro.

No comments:

KAMISHNA BADRU ATAKA UBUNIFU ILI KUENDELEZA MAPANGO YA AMBONI

KAMISHNA BADRU ATAKA UBUNIFU ILI KUENDELEZA MAPANGO YA AMBONI  Na Hamis Dambaya, Amboni Tanga. Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ng...