Thursday, September 20, 2007

Daraja la kutoka kwetu Mtwara kwenda Msumbiji

Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa daraja la Umoja katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji, daraja ambalo linategemewa kuwa kiungo kwa Tanzania na nchi za kusini mwa Afrika. Picha na Mwanakombo Jumaa, Maelezo.

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka 2026 hadi 2030 (Ag...