Thursday, September 20, 2007

Makao makuu ya kijiji kwetu Mlingotini



Nadhani bila shaka una fununu na au taarifa mbalimbali zinazohusu kijiji chetu hiki, hebu kicheki hapa ni katikati ya mji wa Mlingotini, kijiji chetu hiki kina tarafa sita. Mlingoti wenyewe sikuuona wenyeji walinieleza kuwa ulishatokomea muda mrefu, upo hapo.

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka 2026 hadi 2030 (Ag...