Monday, September 10, 2007

Hongera Mrocky Mrocky kwa kupata jiko

Father Kidevu, kidevu chako kiko wapi siku hizi. Mpiga picha mahiri wa magazeti ya Habari Leo na Daily News na pia mwanablogu, Mroki Mroki, amefunga pingu za maisha. Kila la kheri kaka maisha haya ya ndoa ni namna unavyoyacheza tu ni bomba mnoooooo hongeraaaaaaa!!!!!!!

1 comment:

Miriam said...

He Mroki lini tena hii ndugu yangu hatuambiani? Haya hongereni sana...Miriam.

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka 2026 hadi 2030 (Ag...